Mawakili wake, Joseph Ole Shangay and Alasi Melau sasa wanafungua kesi katika mahakama kuu kuvishitaki vyombo vya usalama kwa kumshikilia mteja wao kwa Zaidi ya saa 24 bila kumfungulia mashitaka yeyote.
Param Kilimanjaro, iliyoko katika taasisi ya Nelson Mandela, mkoani Arusha inatajwa kuwa ndio kompyuta yenye uwezo mkubwa zaidi katika eneo zima la Afrika Mashariki.
Kwa mujibu wa Msajili huyo wa Hazina, serikali imewekeza Zaidi ya Trillioni 73 katika taasisi za umma na kwamba ni jukumu lao kuhakikisha fedha hizo zinazaa matunda makubwa katika kukuza uchumi wa nchi.
Tanzania ina waalimu 250,000. Benki ya NMB imedhamiria kuwaokoa kutokana na mikopo ya mitaani, maarufu kama kausha damu ambayo imekuwa ikimaliza mishahara yao.
Maonesho ya 29 ya kilimo kuelekea Sikukuu ya Nanenane 2023 kwa kanda ya Kaskazini yanafanyika katika viwanja vya Nane-Nane, eneo la Njiro, kusini mwa jiji la Arusha, na yamezinduliwa rasmi na Spika wa Baraza la wawakilishi, Zanzibar Zuberi Ally Maulid.
Hifadhi ya taifa ya ziwa manyara ipo kaskazini mwa Tanzania umbali wa kilomita 115 magharibi mwa jiji la arusha kando ya barabara ya makuyuni-ngorongoro karibu na mjimdogo wamto wa Mmbu.
Mbunge kutoka jimbo la Gauteng, Afrika ya Kusini, Darren Bergman ndiye aliwasilisha hoja katika kikao cha Bunge la SADC kutaka nchi hizo wanachama wa Jumuiya, kumuunga mkono Tulia Ackson
Mfalme Charles III ana siri yake moja. Anaupenda mti mkubwa wa Mkuyu ulioko chini ya Maporomoko ya Maji ya Tululusia, katika hifadhi ya Taifa ya Arusha, Tanzania
Habari kamili au za wazi kuhusu chanzo cha moto huo na hasara zake, hazikutolewa kwa wazi sana licha ya ujio wapelelezi kutoka Uingereza ambao waliwasili nchini kufanya uchunguzi wa tukio hilo na kutoa ripoti kwa mamlaka husika.
Tuntemeke kutaka Nyerere ampishe Ikulu, lilimuudhi sana Mwalimu akaamua kutumia Sheria yake ya " The preventive Detention Act 1962" akamsweka mara moja kizuizini kijijini kwake Bulongwa na kumwamuru asitoke kijijni hapo hadi apate kibali maalum.
"...Walimpa mlima wote wa Magila wakidhani kuwa atashindwa kujenga kwa sababu ya kuwa na mawe mengi. Kwa mshangao aliporudi aliyatumia mawe hayo hayo kujengea...!"
Mawe kadha ya ajabu kutoka sayari za mbali, maarufu kama Vimondo, yamekwisha kuanguka sehemu mbalimbali nchini Tanzania. Je, kuna nini cha ziada eneo hili?
JOHN BUTLER WALDEN
John Butler Walden (Desemba 12, 1939 – 7 Julai 2002) alikuwa Brigedia wa Tanzania, ambaye aliongoza wanajeshi wa nchi hii katika vita vya 1978-1979 vilivyosaidia kumuondoa dikteta wa kijeshi Idi Amin katika nchi jirani ya!-->!-->!-->…
Hapo zamani palikuwa na Wanyasa wenye kufuatilia mambo mbalimbali duniani kote, hasa kupitia mawasiliano ya redio.
Wazee wa sasa wanapenda sana redio kuliko televisheni.
Redio ziliwasaidia kujua mengi na kukuza ufahamu na kutunza kumbukumbu nyingi!-->!-->!-->!-->!-->…