Tatizo la Kukatika Daraja la Zira Mkoani Songwe limekwisha rasmi
Wakala wa Barabara nchini imefanikiwa kutatua tatizo la muda mrefu la kukatika kwa barabara eneo la Zira Barabara ya kutoka Chang'ombe hadi Patamela yenye urefu wa Kilometa 55.7 baada ya kujenga miundombinu imara na ya!-->…