Huyu sasa ndiye aliyekuwa Brigedia Walden

JOHN BUTLER WALDEN John Butler Walden (Desemba 12, 1939 – 7 Julai 2002) alikuwa Brigedia wa Tanzania, ambaye aliongoza wanajeshi wa nchi hii katika vita vya 1978-1979 vilivyosaidia kumuondoa dikteta wa kijeshi Idi Amin katika nchi jirani ya