Jamnalal Bajaj: Uvumbuzi wake unavyoibadilisha sekta ya usafiri Tanzania
Hivi karibuni, mfumo wa usafiri katika miji ya Tanzania ulianza kuchukua mfumo mpya.
Pikipiki zenye magurudumu matatu zimeingia ghafla na kwa wingi katika biashara ya kusafirisha abiria mijini.
Pikipiki hizo ni pamoja na Bajaj kutoka India na!-->!-->!-->!-->!-->…