Habari Safari katika Hifadhi ya Ziwa Manyara Amedeus Mboya Hifadhi ya taifa ya ziwa manyara ipo kaskazini mwa Tanzania umbali wa kilomita 115 magharibi mwa jiji la arusha kando ya barabara ya makuyuni-ngorongoro karibu na mjimdogo wamto wa Mmbu.