Hifadhi za Taifa Huzungukwa na Vijiji zaidi ya 10,000 katika wilaya 70 za Tanzania Bara
Afisa Utalii Mkuu wa Kanda ya Kaskazini wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), Edmund Murashani, hali hiyo inawafanya mamilioni ya wakazi wa vijiji hivyo kuwa ndio wahifadhi wakubwa na walinzi wa maliasili nchini.