Mtuhumiwa wa Ujambazi Arusha adaiwa kupotea Polisi katika mazingira ya kutatanisha
Ibrahim mwenye umri wa miaka 22 anadaiwa kukamatwa tarehe 28 Januari Mwaka huu, akiwa maeneo ya Kijenge, kwa mujibu wa Mama yake, Agness Lucas Ngonyani, mkazi wa Kimandolu.