Biashara Vitunguu vya Mang’ola Vyasababisha Machozi Karatu baada ya bei kuporomoka Berry Mollel Viliwahi kuwa dhahabu nyekundu kwa mkoa wa Arusha, lakini sasa vitunguu vya kutoka Karatu vimekuwa mali ya kale
Spoti Ligi Kuu Hispania Yajitosa Michuano ya Soka la Vijana Afrika Mashariki 2022 Berry Mollel Pengine yatakuwa ndio mashindano makubwa zaidi katika historia kuzihusisha timu zaidi ya 200 kuchuana ndani ya wiki moja, Arusha
Mazingira Wanyamapori Wavamia Makazi ya watu Usiku Wakitafuta Maji, Monduli Berry Mollel Baada ya Mito na Mabwawa kukauka, Tembo wamenza kuvamia nyumba za watu wakitafuta maji huku fisi wakiua mifugo
Habari Wizara yataka bodi ya Mikopo kuondoa tatizo la Wanafunzi Kujitoa Masomoni Berry Mollel Wanafunzi wengi wa vyuo huacha masomo kutokana na hali ya umasikini pamoja na kwamba wana uwezo mkubwa sana kimasomo