Simulizi na Historia Mulala: Eneo lililotoa watu Maarufu Meru Emmanuel David Urio Mwanuo ndiye babu yake askofu Kitoi Nassari, yeye alioa wanawake karibia 60. Ana kijiji chake huko Siha Kinaitwa Tindigani
Simulizi na Historia Historia ya Eneo linaloitwa ‘Maji ya Chai’ Arusha Emmanuel David Urio Kwa nini hasa eneo lililo mbele kidogo ya Usa-River linaitwa 'Maji ya Chai?' Pengine tuanze na historia yake kwanza
Simulizi na Historia Safari Kuelekea Mlima Ung’u: Simulizi ya Ujio wa Watu Wanaoishi Meru, Arusha Emmanuel David Urio Neno Nkanti ambalo ndilo chimbuko la "Kikatiti," ni mwanamke bado hajazeeka au mke mdogo.