Mazingira Wafugaji Waomba Kukutana na Rais Samia Suluhu Hassan Hazla Quire Jamii za wafugaji zinataka kumpa Rais Samia taarifa sahihi kuhusu wao, tofauti na zile anazopewa na wasaidizi wake
Habari Tanzania yaanza kutoa mafunzo ya Nishati Safi Kwa Nchi za Afrika Mashariki Hazla Quire Tayari wanafunzi zaidi ya 200 wa awali kutoka Tanzania wanapata elimu ya nishati jadidifu za umeme yaani umeme wa jua (Solar Energy), Nishati ya Upepo (Wind energy) na nishati inayotokana na mimea, gesi asilia…