Habari Mlima Kilimanjaro ndio chanzo cha Raia Wa Ethiopia Kutengenezewa Hati za Kusafiria Marc Nkwame Kilimanjaro ni zaidi ya kuwa Mlima Mrefu zaidi barani Afrika. Pasi za Kusafiria za Raia wa Ethiopia chimbuko lake pia ni katika Kilele cha Uhuru.
Habari Vita Vya Uganda havikuibukia Kagera bali Vilianzia Moshi, Kilimanjaro Marc Nkwame November 2022, ndio inatimia miaka 44 tangu majeshi ya Tanzania yaingie vitani dhidi ya vikosi vya Idd Amin kule Kagera na baadae Uganda