“Mimi sio Mwanachama wa Chama Chochote Cha Siasa!” Dokta Slaa asisitiza akihutubia Karatu
Pamoja na Kusisitiza kuwa hana chama chochote kwa sasa, Dk Slaa amehutubia mkutano wa ndani wa CHADEMA na kukisifu chama hicho kwa ustahimilivu mkubwa kipindi cha nyakati ngumu