PAUL Laizer ambaye ni mfugaji wa jamii ya kimasai, anashikiliwa na Jeshi la Polisi, Mkoa wa Manyara kwa tuhuma za kumshambulia kwa risasi, Walter Kaaya ambaye ni mkulima.
Tukio hilo limeripotiwa katika Kata ya Loobosaiti, Wilaya ya Simanjiro, Mkoa wa Manyara wakati Kaaya mwenye umri wa!-->!-->!-->…
Taarifa kutoka wilayani Serengeti, Mkoani Mara, zinaeleza kuwa Marehemu Mkirya alichomwa na panga hilo kifuani baada ya kuliangukia wakati akijaribu kukwepa kuangukiwa na mti mkubwa wa mwembe aliokuwa anaukata.
Uamuzi wa mahakama unatokana na ombi la kikatiba lililofunguliwa mwaka 2020 na wabunge wa upinzani dhidi ya Kamishna Mkuu wa Magereza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.