Browsing Category
Biashara
Utapeli Mpya waibukia kwenye Miamala ya Benki
Matapeli sasa wamebuni mbinu mpya ya kutuma taarifa ghushi kwa wamiliki wa akaunti za benki, hasa zile za taasisi kana kwamba kuna fedha nyingi zimetumwa kutoka nje ya nchi
Wakazi wa Mara waiburuza Barrick Gold Mahakamani Nchini Canada
Inajulikana wazi kwamba, kwa Wakazi wa Mkoa wa Mara, 'Vita ni Vita,' hata kama italazimika kupiganwa nchini Canada
Arusha kufuta magari madogo ya abiria kutoka kwenye sekta ya usafirishaji Jijini
Magari madogo aina ya Toyota Hiace na Nissan Caravan yanatakiwa kupisha mabasi ya saizi ya kati kama Toyota Coaster na Nissan Civillian
Sekta ya Ufugaji Kuku Nchini Sasa Hatarini Kutokana na Mfumuko wa Bei
Tatizo hili la chakula kupanda ni bei ya nafaka imekuwa changamoto Sana kiasi cha wafanyabiashara wa chakula kutupandishia bei ya chakula lakini lingine ni ubora wa vyakula vyenyewe viko chini kiasi cha kutulazimu…
Vita kati ya Urusi na Ukraine yatibua Soko la Pilipili Kutoka Tanzania
Pilipili usiyoila imenza kuwasha kila mahali baada kuporomoka kwa soko la zao hilo duniani kufuatia vita baina ya Urusi na Ukraine
Mfuko wa Hifadhi za Jamii Kutoa Mikopo, Mashine Kusaidia Uwekezaji Katika Viwanda Vidogo nchini
Hadi sasa zaidi ya shilingi milioni 858 zimetolewa kwa vikundi 18 huku NSSF wakiendelea kutoa elimu kwa wananchi waliomo katika sekta isiyo rasmi.
Vitunguu vya Mang’ola Vyasababisha Machozi Karatu baada ya bei kuporomoka
Viliwahi kuwa dhahabu nyekundu kwa mkoa wa Arusha, lakini sasa vitunguu vya kutoka Karatu vimekuwa mali ya kale