Browsing Category
Habari
Habari Mpya
Matufaa ya Sodoma sasa yatishia Hifadhi ya Taifa ya Arusha
Wataalam wanaonya kuwa mimea vamizi inayochipuka kwa kasi chini ya Mlima Meru sasa inatishia uoto wa asili pamoja na wanyamapori katika hifadhi ya Taifa ya Arusha
Vijana 150,000 hujiunga na vyuo vya Ufundi Stadi Kila Mwaka nchini Tanzania
Zaidi ya vijana 150,000 hujiunga na taasisi za elimu ya ufundi stadi kila mwaka nchini tanzania.
Teknolojia Mpya kutumika kuwanasa majangili katika mapito ya wanyama ya Tarangire-Manyara
Mfumo huo wa kisasa utaanza kutumika mwaka huu, katika eneo la jumuiya ya hifadhi ya wanyamapori Burunge, kupitia mradi wa uhifadhi maliasili unaodhaminiwa na shirika la msaada la kimataifa la Marekani (USAID)
Wananchi 200 wanufaika na kambi maalum ya matibabu ya Mifupa Sumbawanga
Zaidi ya wananchi 200 wa Mkoa wa Rukwa na mikoa ya jirani wamepatiwa huduma za uchunguzi na matibabu ya mifupa katika kambi ya maalum ya tiba ya upasuaji kwenye Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Sumbawanga.
!-->!-->!-->…
Iringa yamaliza tatizo la wananchi kupachikiwa bili kubwa za maji kinyume na matumizi yao
Hadi sasa huduma ya maji safi katika mji wa Iringa imewafikiwa wananchi kwa zaidi ya asilimia 97 na mikakati ya kuwafikia wananchi wote inaendelea.
Kilimo cha Michikichi: Tanzania sasa Kuzalisha Miche Laki Tatu kwa Mwaka
Wakala wa Mbegu za Kilimo Tanzania (ASA) imejipanga kuongeza uzalishaji wa miche ya zao la michikichi hadi kufikia zaidi ya miche 300,000 kwa mwaka ili kusaidia kupunguza wimbi la uingizaji wa mafuta ya kula!-->…
Tanzania ina Upungufu wa Miche Milioni 30 ya Kahawa
Kahawa, zao lililowahi kuwa maarufu sana Afrika Mashariki sasa linarejea tena kwa nguvu kubwa ingawa Tanzania bado ina upungufu wa miche hiyo
Tanzania yaweka saini kituo cha operesheni za Dharura katika Jumuiya ya Maendeleo, Kusini
TANZANIA limekuwa taifa la kwanza miongoni mwa wanachama wa Jumuiya ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), kusaini mkataba wa kuanzishwa kituo cha huduma za kibinadamu na operesheni za dharura za!-->…
Mtanzania mwenye jinsia mbili aelezea machungu ya kuonekana tofauti katika jamii
Tanzania ina watu ambao wamezaliwa wakiwa na jinsia zote mbili za Kike na Kiume, ingawa hawana tatizo lolote lakini jamii inachukulia kuwa huo pia ni ulemavu
Mlima Kilimanjaro ndio chanzo cha Raia Wa Ethiopia Kutengenezewa Hati za Kusafiria
Kilimanjaro ni zaidi ya kuwa Mlima Mrefu zaidi barani Afrika. Pasi za Kusafiria za Raia wa Ethiopia chimbuko lake pia ni katika Kilele cha Uhuru.