Browsing Category
Habari
Habari Mpya
Madiwani Karatu Waja Juu wilaya kushika Mkia katika mitihani ya Taifa Arusha
Vijana wengi wilayani Karatu wamegundulika kupoteza muda mwingi katika vijiwe vya michezo kama Drafti na Pool Table
Zaidi ya wanafunzi 50 Ngorongoro wawezeshwa kujiunga sekondari kwa michango ya wananchi
Ni kutoka katika kata tatu za Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro, mkoani Arusha. Watajiunga na elimu ya sekondari mwaka huu, kwa kidato cha kwanza, baada ya kuhitimu elimu ya msingi,
Rais Samia Suluhu afanya mabadiliko ya uongozi katika wilaya 85
Katika Orodha mpya ya Wakuu wa Wilaya, iliyotolewa na Ikulu, wamo Wanaume 100 na Wanawake 40
Shirika la Nyumba lajenga Makazi Mapya 560 eneo la Kawe Tangayika Packers
Nyumba zipatazo 560 zinazojengwa eneo la Kawe ni miongoni mwa ujenzi wa majengo 5000 unaotekelezwa na Shrika la Nyumba la Taifa (NHC)
Fundi Ujenzi Afariki baada ya kuangukia Panga Lake Mwenyewe wakati akikwepa Mti aliokuwa anaukata
Taarifa kutoka wilayani Serengeti, Mkoani Mara, zinaeleza kuwa Marehemu Mkirya alichomwa na panga hilo kifuani baada ya kuliangukia wakati akijaribu kukwepa kuangukiwa na mti mkubwa wa mwembe aliokuwa anaukata.
Mwaka Mpya 2023: Mama Maria Nyerere Atimiza Miaka 93
Mama Maria Nyerere anatimiza miaka 93, ikiwa ni miaka 23 baada ya kifo cha mumewe, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
‘Wafungwa wasilazimishwe Kupima Ukimwi!’ Mahakama Yaamuru
Uamuzi wa mahakama unatokana na ombi la kikatiba lililofunguliwa mwaka 2020 na wabunge wa upinzani dhidi ya Kamishna Mkuu wa Magereza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Vitambulisho vya Taifa Sasa kuombwa Mtandaoni
Mamlaka inadai kuwa huu ni mfumo utakaowezesha wananchi wenye sifa za kuomba Vitambulisho vya Taifa kujaza fomu mtandaoni popote walipo.
Mahakama yazuia kuuzwa kwa Kitalu cha Burunge
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Saalam, imezuia mchakato wa kupiga mnada Kitalu cha uwindaji katika eneo la Jumuiya ya Hifadhi ya Jamii Burunge (JUHIBU)
Mahakama imetoa zuia la dharura la!-->!-->!-->…
Watumishi wa Umma walioachishwa kisa Vyeti, sasa kupata Shilingi Bilioni 32
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha, meneja wa uhusiano na Elimu kwa wanachama PSSSF, James Mlowe amesema kuwa hadi Sasa baada ya mchujo wa awamu ya kwanza zaidi ya watumishi 9,700 wameidhinishwa…