Browsing Category
Habari
Habari Mpya
Tanzania yaanza kutoa mafunzo ya Nishati Safi Kwa Nchi za Afrika Mashariki
Tayari wanafunzi zaidi ya 200 wa awali kutoka Tanzania wanapata elimu ya nishati jadidifu za umeme yaani umeme wa jua (Solar Energy), Nishati ya Upepo (Wind energy) na nishati inayotokana na mimea, gesi asilia…
Sakata la Mauaji ya Polisi Loliondo: Watuhumiwa 24 Waachiwa Huru Arusha
Wakili wa Serikali Upendo Shemkole aliieleza mahakama kuwa mkurugenzi wa mashitaka nchini (DPP) hakuwa na nia ya kuendelea na shauri hilo tena.
Canada yatoa Bilioni 46 Kuwasaidia Wasichana Nchini Tanzania
Akizungumzia mradi huo, mwakilishi wa ubalozi wa Canada, Bronwyn Cruden alisema kuwa serikali yake imetoa jumla ya Dola milioni 25 za Canada ambazo ni sawa na shilingi Bilioni 45.6 kwa ajili ya kudhamini mradi…
Treni Mpya 10, Mabehewa 270 Kuagizwa ili kukabiliana na wimbi la Safari za Krismas na Mwaka Mpya
Treni mpya 10 na mabehewa 270 yameagizwa ili kukabiliana na ongezeko la abiria na mizigo kwenye usafiri wa reli kati ya Arusha na Dar-es-salaam.
Twitter Msalabani Kwa Kuithibitisha Akaunti iliyofunguliwa na ‘Yesu Kristo!’
Hata hivyo baada ya kelele nyingi, Twitter walilazimika kuondoa alama bluu ya uthibitisho, wa kuitambua rasmi akaunti ya Yesu
Benki ya NMB Yatoa vifaa vya Tiba kwa ajili ya Zahanati mpya Arumeru, Arusha
mradi wa ujenzi wa zahanati hiyo, ilianza mwaka 2013 kwa michango ya wananchi na mfuko wa jimbo kiasi cha shilingi milioni 75.
‘Sisi ndio tulitoa eneo kwa ajili ya ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro!’
Wakazi wapatao 2000 kutoka vijiji saba vinavyouzunguka uwanja wa ndege wa kimataifa wa kilimanjaro, wanadai kuwa baba na babu zao ndio hasa waliowezesha uwepo wa eneo hilo la kutua ndege.
"Waanzilishi wa!-->!-->!-->…
Hospitali Mpya ya Karatu yakamilika. Itakuwa na Uwezo wa Kuhudumia Wagonjwa 300,000
Kwa miaka mingi wakazi wa Karatu walikuwa wakiitegemea hospitali ya Kanisa la Kilutheri, huku wengine wakilazimika kusafiri hadi jijini Arusha
China Yaisamehe Tanzania Deni la Shilingi Bilioni 31.4
China inaongoza kwa uwekezaji nchini Tanzania. Hadi kufikia Mwezi Oktoba 2022, Jumla ya miradi 1,098 yenye thamani ya Dola za Kimarekani Bilioni 9.6 ilisajiliwa katika kituo cha uwekezaji cha TIC.
China na Tanzania zatimiza Miaka 58 ya Ushirikiano
Mbali na Reli ya Tanzania-Zambia (TAZARA), China imeisaidia sana Tanzania katika sekta ya afya