Browsing Category
Habari
Habari Mpya
Kesi ya Wanavijiji Loliondo Dhidi ya Pori Tengefu la Pololeti Kusikilizwa Novemba 8
Nao baadhi ya Mawakili upande wa utetezi, Alais Melau, Denis Mosses na Yohana Masiaya wamepinga taarifa hiyo ya kupandishwa hadhi kwa eneo hilo kutoka pori tengefu kuwa pori la akiba la Pololeti kwani utaratibu…
Moto Kilimanjaro: Vikosi vya Jeshi la Wananchi vyaingia Kazini Moshi
Jeshi la Wananchi Tanzania sasa limeamua kujitosa kwenye opereshi ya kuzima mioto inayoteketeza sehemu ya Mlima Kilimanjaro
Tanga, Arusha, Kilimanjaro kuwa gizani zaidi
Umeme sasa Kitendawili nchini Tanzania, huku shirika husika likilaumu ukame
Idadi ya Watanzania Sasa Imefikia Milioni 61.741
Idadi ya wanawake pekee imefikia 31,687,990, kwa mujibu wa matokeo ya sensa ya kitaifa ya watu na makazi yaliyotangazwa rasmi jijini Dodoma na Rais Samia Suluhu Hassan.
Abiria wa Ndege kati ya Songea na Dar-es-Salaam waongezeka kila siku
Mpinzani mkuu wa kampuni ya mabasi ya Super Feo katika safari ya Dar-Songea kwa sasa ni ndege za Air Tanzania
Hatimaye Wahadzabe Sasa Waanza Kusoma Hadi Sekondari
Wamekuwa wakiishi maisha ya porini tangu kuumbwa kwa dunia, lakini sasa jamii ya Wahadzabe waishio wilayani Karatu, Mkoani Arusha, wamegundua umuhimu wa kujiunga na elimu rasmi mashuleni
Kitambulisho cha Taifa alichopewa Mchina Chazua Maswali
Je! Mchina au mtu yeyote kutoka nje ya Tanzania anaweza kupewa Kitambulisho cha Taifa?
Ndilo swali wanalojiuliza watanzania wengi baada ya picha ya nakala ya Kitambulisho cha Taifa chenye jina la mtu kutoka!-->!-->!-->…
Vita Vya Uganda havikuibukia Kagera bali Vilianzia Moshi, Kilimanjaro
November 2022, ndio inatimia miaka 44 tangu majeshi ya Tanzania yaingie vitani dhidi ya vikosi vya Idd Amin kule Kagera na baadae Uganda
Wizara yataka bodi ya Mikopo kuondoa tatizo la Wanafunzi Kujitoa Masomoni
Wanafunzi wengi wa vyuo huacha masomo kutokana na hali ya umasikini pamoja na kwamba wana uwezo mkubwa sana kimasomo
Zaidi ya watu 40,000 hupata Saratani kila mwaka
Kansa na magonjwa mengine mageni yasiyo ya kuambukizwa yanaendelea kuwa tatizo kubwa nchini Tanzania.
Wizara ya afya kupitia kitengo cha magonjwa yasiyoambukiza nchini imewatahadharisha watanzania juu ya!-->!-->!-->…