Browsing Category
Mazingira
Wanyamapori sasa ni tishio kubwa dhidi ya Maisha ya wakazi wa wilaya ya Karatu
Mwenyekiti wa Baraza la Madiwani anaelezea hofu yake kwamba hivi sasa analazimika kuhudhuria misiba na mazishi ya wakazi wanaouawa na wanyama kama Tembo na Nyati, kila siku.
Eneo la Tanzania, Kenya kumeguka kutoka Afrika na Kuunda Bara Jingine?
Tanzania, Kenya na nchi zingine kadhaa za afrika zinatabiriwa kujitenga na kuanzisha bara jipya miaka michache ijayo
Wafugaji Waomba Kukutana na Rais Samia Suluhu Hassan
Jamii za wafugaji zinataka kumpa Rais Samia taarifa sahihi kuhusu wao, tofauti na zile anazopewa na wasaidizi wake
Hifadhi za Taifa Huzungukwa na Vijiji zaidi ya 10,000 katika wilaya 70 za Tanzania Bara
Afisa Utalii Mkuu wa Kanda ya Kaskazini wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), Edmund Murashani, hali hiyo inawafanya mamilioni ya wakazi wa vijiji hivyo kuwa ndio wahifadhi wakubwa na walinzi wa maliasili…
Ng’ombe zaidi ya 15 wafa Monduli baada ya kula majani yenye sumu
Baadhi ya wafugaji wa wilaya ya Monduli wamesema kuwa kawaida Majani ambayo huchipua kutokana na mvua zinazonyeesha baada ya kipindi kirefu cha ukame huwa na madhara kwa ng'ombe na mifugo mingine.
Moto Kilimanjaro ulivyodhibitiwa Mlimani mwaka 2022 na jinsi ya kujiandaa dhidi ya matukio kama hayo…
Uwepo wa miinuko mikali na makorongo makubwa pamoja na mlundikano wa mboji ambayo huhifadhi moto kwa muda mrefu iliongeza ugumu wa zoezi la kuzima moto
Mgogoro waibuka Hifadhi ya Jamii Burunge baada ya kitalu cha uwindaji kutangazwa bila ridhaa ya Viongozi
"Tukumbuke kuwa haya pia ni mapito ya wanyama," wanasema viongozi wa Hifadhi ya Jamii ya Burunge (WMA).
Ukame Wateketeza Wanyamapori Ndani ya Hifadhi ya Burunge, Wilayani Babati
Vifo vya wanyama sasa vinaripotiwa kwa wingi ndani ya Hifadhi ya Jamii ya Burunge kufuatia ukame uliokithiri Kaskazini mwa Tanzania
Wanyamapori Wavamia Makazi ya watu Usiku Wakitafuta Maji, Monduli
Baada ya Mito na Mabwawa kukauka, Tembo wamenza kuvamia nyumba za watu wakitafuta maji huku fisi wakiua mifugo
Mtafiti wa Ujerumani Aangazia Athari Pamoja na Faida Za Mioto Inayolipuka Kilimanjaro Kila Mara
Andreas Hemp, mwanazuoni na mtafiti wa masuala ya mazingira katika chuo kikuu cha Bayreuth anasema mioto inayolipuka Kilimanjaro wakati mwingine ina faida kwa mazingira