TAIFA TANZANIA
Gazeti Huru la Habari za Tanzania, Afrika Mashariki na Zanzibar

Majina ya Waliopoteza maisha Ajali ya Ndege Ziwa Victoria na wanaotibiwa

Mmoja wa abiria aliyeokolewa anadaiwa kutoroka na kupotelea kusikojulikana

Watu 19, wakiwemo Rubani na Msaidizi wake, wamethibitishwa rasmi kufariki katika ajali ya ndege iliyotumbukia ndani ya ziwa victoria, Jumapili ya Tarehe 6 Novemba 2022.

Ndege hiyo iliyokuwa ikikaribia kutua katika uwanja wa Bukoba, Mkoani Kagera ilikuwa na abiria 41, Marubani wawili na wahudumu wawili wa kwenye ndege (Air hostesses), jumla ya watu wakiwa ni 45.

Ripoti Rasmi

TAREHE 06/11/2022 MAJIRA YA SAA 2:27ASUBUHI NDEGE YA SHIRIKA LA NDEGE LA PRECISION AIR YENYE USAJILI NAMBA 5H-PWF ILIYOKUWA IKITOKA DAR ES SALAAM KUELEKEA MWANZA KUPITIA BUKOBA ILISHINDWA KUTUA KATIKA KIWANJA CHA NDEGE BUKOBA NA KUTUA ZIWANI MITA CHACHE KABLA YA KUTUA KATIKA KIWANJA CHA NDEGE BUKOBA. 

NDEGE HIYO ILIKUWA NA JUMLA YA ABIRIA 39 NA WAHUDUMU WA NDEGE 4 HIVYO KULINGANA NA MANIFEST JUMLA YA WATU NI 43, 

TAARIFA ZA AWALI ZINAELEZA CHANZO KUWA NI HALI MBAYA YA HEWA HASA HASA UPEPO NDO ULIOSABABISHA RUBANI ASHINDWE KUTUA KATIKA UWANJA NA KUTUA MITA TAKRIBANI 100 NDANI YA MAJI KUTOKA ZIWANI.

ZOEZI LA UOKOAJI LIMEENDESHWA KWA USHIRIKIANO WA PAMOJA NA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA YA MKOA, NA JIONI MH WAZIRI MKUU ALISHIRIKI PAMOJA NA MH WAZIRI WA UJENZI MAWASILIANO NA UCHUKUZI MH MBARAWA PIA.

LAKINI WAKATI WA UOKOZI IMEBAINIKA KUWA KULIKUWA JUMLA YA ABIRIA 41 NA WAHUDUMU 4 JUMLA WALIOKUWEPO KWENYE NDEGE NI WATU 45 AMBAPO JUMLA YA WATU 19 WAMEFARIKI DUNIA WAKIWEPO RUBANI NA MSAIDIZI WAKE. AIDHA WALIOOKOLEWA NI WATU 26 WAMEOKOLEWA, KATI YAO MMOJA BAADA YA KUOKOLEWA ALIKIMBIA NA HAJULIKANI ALIKOKWENDA. 

ORODHA YA WALIOOKOLEWA WAKIWA HAI NI KAMA IFUATAVYO

WALIOFIKISHWA HOSPITALI

 • 1. RAGI SAMWEL INYOMA (0752157904)  28yrs DSM
 • 2. RAUSATH HASSAN – 26yrs BUKOBA
 • 3. ANNA MAY MITABALO 40yrs KARAGWE
 • 4. DR FELIX OTIENO 37YRS-JALUO-MKRISTO -BUNDA-0765779548
 • 6. SHAMIRU ISMAIL BKB 34YRS- ITAWA-MUHAYA-DAKTARI-0753527776
 • 6. PROTAS MUSSA – 38YRS NGARA
 • 7. AMOS SKOTH 38YRS MWANZA
 • 8. GRACE RUGAMBWA – 67YRS NYAKANYASI BUKOBA -MUHSYA-MUUGUZI MSTAAFU-MKRISTO-0755016680
 • 9. AMINA ABDALLAH KARWANDIRA 62YRS  BUKOBA NYAKANYASI- MUHAYA -MUISLAM- MAMA WA NYUMBANI- 0628 749070
 • 10.  REVINA THEONEST RUTINDA  29YRS-KAGERA SUGAR-PROCCESSING ENGINEER-MUHAYA-MKRISTO- 0754588634 HOME GEITA(MWMA WA EMILI).
 • 12. EMILI VICTOR MWESIGA 1.3 YRS -MUHAYA-KAGERA SUGAR
 • 14. JESCA JULIUS TITUS 27YRS  DSM – MUHA – MKRISTO PENTECOSTAL -NESI BY PROFESSIONAL. 0753953702
 • 15. ZANGLIN 30YRS DSM (MCHINA)-CIVIL ENGINEER-0788453998
 • 14. RICHARD KOMBA 42yrs-MMATENGO-MKURUGEBZI KAGERA TEA COMPANY MARUKU- 0756902081
 • 15. EMMANUEL AMANI 28yrs MWANZA
 • 16. NIKSON JACKSON KAWICHE 35YRS from DSM-ADITOR MDH-MCHAGA-MKRISTO-0742361210/071389942
 • 17. SALEH OMARY 46YRS  – MLIGURU-0789530136-SONARA-KIPAWA KARAKATA-
 • 18. EDWIN BITEGEKO 33YRS DSM BANKER CRDB HQ TABATA-MUHAYA-MKRISTO-0755920587/0719124576
 • 19. EVA DICKSON MCHARO 38YRS SENGEREMA MWANZA-MPARE-MKRISTO-PCCB SENGEREMA-0766847175
 • 21. JOSEPHINE JOSEPH MWAKISAMBWA 34YRS MBEYA ANAISHI DAR-DKT-MKRISTO-MNYAKYUKYUSA-0762415551
 • 21. THEODORA STANSLAYS MPESHA 46yrs ANAISHI DSM-MWASIBU DSM-MKRISTO-MUHAYA-0754841044
 • 22. JOSEPH LAURENCE MBAGO 57YRS BOT ANAISHI DSM-MKRISTO-MBONDEI
 • WAHUDUMU
 • 1. BRENDA SELVULI TEMBA 23YRS DSM-MCHAGA-MKRISTO-0686929264-AIR HOSTRESS PRECISION
 • 2. LYDIA  IBRAHIM RAMADHAN- 25YRS-MDIGO-MKRISTO- DSM AIR HOSTRESS PRECISION-0717800570
 • NB. WANAUME 16, WANAWAKE 9 NA MTOTO 1(ME)

MAJINA YA WALIOFARIKI DUNIA

 • 1. ATULINDE BITEYA
 • 2. ANETH BITEYA 
 • 3. NEEMA FARAJA
 • 4. HANIFA HAMZA
 • 5.ANETH KAAYA
 • 6.VICTOR LAUREAN
 • 7. SAID MALAT LYANGANA
 • 8.IMAN PAUL
 • 9. FARAJI YUSUPH
 • 10.LIN  ZHANG
 • 11.SAULI EPIMARK
 • 12.ZACHARIA MLACHA
 • 13.EUNICE NDIRANGU
 • 14.MTANI NJEGERE
 • 15. ZAITUNI SHILLAH
 • 16.DR. ALICE SIMWINGA
 • 17. BURUANI LUBAGA – RUBANI
 • 18.PETER ODHIAMBO – FIRST OFFICER.

AIDHA ATHARI NYINGINE ZILIZOTOKANA NA AJALI HIYO NI BAADHI YA SAFARI KUAHIRISHWA AMBAPO NDEGE YA ATCL ILIYOPOSWA KWENDA BUKOBA LEO ILIAHIRISHWA KUTOKANA NA KIWANJA KUFUNGWA HIVYO ABIRIA WAKE KUPELEKWA HOTELINI.

ABIRIA WALIOPASWA KUSAFIRI KWA NDEGE YA PRECISION AIR KUELEKEA DAR ES SALAAM WAMESAFIRISHWA KWA NDEGE YA ATCL NA WENGINE WAMESAFIRISHWA KWA NDEGE NYINGINE YA PRECISION AIR KUELEKEA DAR ES SALAAM KUPITIA KILIMANJARO

9. TIMU YA UCHUNGUZI WA AJALI ZA NDEGE KUTOKA TCAA IMESHAFIKA BUKOBA TAYARI KWA UCHUNGUZI.