Uamuzi wa mahakama unatokana na ombi la kikatiba lililofunguliwa mwaka 2020 na wabunge wa upinzani dhidi ya Kamishna Mkuu wa Magereza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeiamuru kampuni ya usafirishaji ya Kilimanjaro Truck Company Limited, kuilipa fidia ya shilingi Milioni 300 kwa familia iliyopoteza mtoto kutokana na ajali iliyosababishwa na moja ya mabasi yake ya Kilimanjaro!-->…
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Saalam, imezuia mchakato wa kupiga mnada Kitalu cha uwindaji katika eneo la Jumuiya ya Hifadhi ya Jamii Burunge (JUHIBU)
Mahakama imetoa zuia la dharura la mchakato wa kukigawa kitalu hicho!-->!-->!-->…
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha, meneja wa uhusiano na Elimu kwa wanachama PSSSF, James Mlowe amesema kuwa hadi Sasa baada ya mchujo wa awamu ya kwanza zaidi ya watumishi 9,700 wameidhinishwa kulipwa zaidi ya bilion 22.22.
Karatu ambayo ndio wilaya pekee nchini yenye mnara wa historia ya kuanzishwa kwa vijiji vya Ujamaa, sasa iko mbioni kujenga mnara mwingine wa kitaifa.
Baraza la wazee wilayani Karatu kwa kushirikiana na Halmashauri ya wilaya hiyo kwa pamoja!-->!-->!-->…
Washindani wake kibiashara walianza hadi kuwatishia watu waliotaka kusambaza au kuuza bidhaa zake kwamba wangesitisha kumpa bidhaa zingine za maziwa kutoka kwao iwapo angeendelea kuchanganya na maziwa yake.