Banner Before Header

Taifa Tanzania Taifa Tanzania - Afrika Mashariki

  • Habari
  • Ripoti Maalum
  • Burudani na Starehe
  • Makala na Historia
  • Spoti
  • Kubadilisha Fedha
Taifa Tanzania
  • Mwanzo
  • Ukurasa 3

Hifadhi za Taifa Huzungukwa na Vijiji zaidi ya 10,000 katika wilaya 70 za Tanzania Bara

Antilisia Godwin Dec 9, 2022
Afisa Utalii Mkuu wa Kanda ya Kaskazini wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), Edmund Murashani, hali hiyo inawafanya mamilioni ya wakazi wa vijiji hivyo kuwa ndio wahifadhi wakubwa na walinzi wa maliasili nchini.

Miaka 61 ya Uhuru: Rais Samia atajwa na Forbes kuwa miongoni mwa Wanawake 100 wenye ushawishi Mkubwa Duniani

Mwandishi Wetu Dec 8, 2022
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani (IMF), Kristalina Georgieva, na aliyekuwa mke wa mmoja wa watu matajiri zaidi duniani Jeff Bezos, Mackenzie Scott, nao pia wametambuliwa kwenye orodha hiyo yenye sifa kubwa duniani.

Tanki la Bohari ya Mafuta lazua Taharuki Dar-es-salaam

Taifa Ripota Dec 1, 2022
Wakazi wa jiji la Dar-es-salaam wamekumbwa na taharuki kufuatia kile kilichoelezwa kuwa ni kuvuja kwa mafuta kwenye tenki kubwa la bohari ya Malawi Cargo Center. Tukio hilo liliripotiwa siku ya kwanza ya Disemba 2022 kuanzia majira ya saa mbili…

Kinachoisibu Jumuiya ya Hifadhi ya Jamii, Burunge wilayani Babati

Mwandishi Wetu Nov 30, 2022
Mgogoro huo umeibuka baina  ya Mwenyekiti wa jumuiya hiyo, Hamis Juma  na  Bodi ya wadhamini wa jumuiya hiyo ambayo inaungwa mkono na baraza la ushauri la maliasili la wilaya hiyo na wananchi waliowengi.

Ng’ombe zaidi ya 15 wafa Monduli baada ya kula majani yenye sumu

Mwandishi Wetu Nov 29, 2022
Baadhi ya wafugaji wa wilaya ya Monduli wamesema kuwa kawaida Majani ambayo huchipua kutokana na mvua zinazonyeesha baada ya kipindi kirefu cha ukame huwa na madhara kwa ng'ombe na mifugo mingine.

Tanzania yaanza kutoa mafunzo ya Nishati Safi Kwa Nchi za Afrika Mashariki

Hazla Quire Nov 27, 2022
Tayari wanafunzi zaidi ya 200 wa awali kutoka Tanzania wanapata elimu ya nishati jadidifu za umeme yaani umeme wa jua (Solar Energy), Nishati ya Upepo (Wind energy) na nishati inayotokana na mimea, gesi asilia pamoja na mboji, yaani Bio energy.

Moto Kilimanjaro Wadhibitiwa, TANAPA yatoa Ripoti kamili ya Matukio Mlimani

Mwandishi Wetu Nov 25, 2022
Uwepo wa miinuko mikali na makorongo makubwa pamoja na mlundikano wa mboji ambayo huhifadhi moto kwa muda mrefu iliongeza ugumu wa zoezi la kuzima moto

Safari ya Mji wa Mbulu kuwa Kitovu Cha Michezo Mkoani Manyara Yaanza na Ukarabati wa Viwanja

Dotto Lukezo Nov 24, 2022
Hivi karibuni Chief Sarwatt ilikuwa miongoni mwa shule zilizoteuliwa na serikali kushiriki mafunzo maalum ya michezo yaliyoendeshwa na Baraza la michezo Tanzania kupitia wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo.

Wakazi wa Mara waiburuza Barrick Gold Mahakamani Nchini Canada

Taifa Tanzania Nov 24, 2022
Inajulikana wazi kwamba, kwa Wakazi wa Mkoa wa Mara, 'Vita ni Vita,' hata kama italazimika kupiganwa nchini Canada

Sakata la Mauaji ya Polisi Loliondo: Watuhumiwa 24 Waachiwa Huru Arusha

Omega Mlay Nov 22, 2022
Wakili wa Serikali Upendo Shemkole aliieleza mahakama kuwa mkurugenzi wa mashitaka nchini (DPP) hakuwa na nia ya kuendelea na shauri hilo tena.
Rudi Nyuma 1 2 3 4 5 … 9 Ukurasa Unaofuata
- Advertisement -

- Advertisement -

Latest News

Zaidi ya wanafunzi 50 Ngorongoro wawezeshwa kujiunga…

Rais Samia Suluhu afanya mabadiliko ya uongozi katika…

Shirika la Nyumba lajenga Makazi Mapya 560 eneo la Kawe…

Benki Kuu ya Tanzania yapata Gavana Mpya

Zilizotangulia Zifuatazo 1 ya 22
Popular Topics
  • Makala na Historia12
  • Ripoti Maalum8
  • Spoti7
  • Burudani na Starehe3
  • Uchawi wa Teknolojia2
  • Mpya0
  • Biashara0
  • Entertainment0

Reviews

Habari

Zaidi ya wanafunzi 50 Ngorongoro wawezeshwa kujiunga…

Rais Samia Suluhu afanya mabadiliko ya…

2 days zilizopita

Shirika la Nyumba lajenga Makazi Mapya…

3 weeks zilizopita

Benki Kuu ya Tanzania yapata Gavana Mpya

3 weeks zilizopita
Zilizotangulia Zifuatazo 1 ya 22

Posti za hivi karibuni

Biashara

- Advertisement -

- Advertisement -

  • Habari
  • Ripoti Maalum
  • Burudani na Starehe
  • Makala na Historia
  • Spoti
  • Kubadilisha Fedha
© 2023 - Taifa Tanzania - Afrika Mashariki. Haki zote zimehifadhiwa
Taifa Tanzania ni Gazeti Huru la Habari, Makala Maalum, Biashara, Historia pamoja na tafiti mpya kutoka Tanganyika, Zanzibar, Kenya, Mwambao wa Bahari ya Hindi pamoja na eneo zima la Afrika Mashariki.
  • Habari
  • Ripoti Maalum
  • Burudani na Starehe
  • Makala na Historia
  • Spoti
  • Kubadilisha Fedha