Rais Samia Suluhu afanya mabadiliko ya uongozi katika wilaya 85

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya Wapya 37, kuwahamisha vituo vya Kazi Wakuu wa Wilaya 48.

Hata hivyo wakuu wa wilaya wapatao 55 wanaendelea kubakia kwenye vituo vyao vya awali.

Kati ya Wakuu wa Wilaya hao 140, Wanawake ni 40 na Wanaume ni 100 na orodha yao ni kama ifuatavyo:

WAKUU WA WILAYA WAPYA:

Felician Gasper Mtahengerwa – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha

Marko Henry Ngu’mbi – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Longido

Emmanuela Kaganda Mtatifikolo – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Arumeru.

Gerald R. Mongella – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Chemba

Kanali Boniphace Magembe – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Geita

Leah Lucas Ulaya – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe

Deusdedith Josephat Katwale – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya Chato

Grace Henry Kingalame – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nyang’halwe

Dkt. Linda Peniel Salekwa – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mufindi

Dkt. Abel Mwendawile Nyamahanga – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Muleba

Japhet Mosses Maganga – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa

Erasto Yohana Sima – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Bukoba

Julius Kalanga Laiser – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Karagwe

Dinah Elias Mathamani – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Uvinza

Dkt. Christopher David Timbuka – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Siha

Amir Mohamed Mkalipa – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai

Kasilda Jeremia Mgeni – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Same

Goodluck Asaph Mlinga – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Liwale

Chistopher E. Ngubiagai – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilwa

Beno Morris Malisa – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbeya

Josephine Keenja Manase – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kyela

Jaffar Mohamed Haniu – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Rungwe

Rebeca Sanga Msemwa – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Morogoro

Shaka Hamdu Shaka – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa

Rachel Stephen Kasanda – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Magu

Hassan Omary Bomboko – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe

Victoria Charles Mwanziva – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ludewa

Kanali Joseph Samwel Kolombo – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kibiti

Zephania Stephan Sumaye – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mafia

Lazaro Killian Komba- Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kalambo

Dkt. Jane Chacha Nyamsenda – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga

Wilman Kapenjama Ndile – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Songea

Mboni Mohamed Mhita – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kahama

Farida Salum Mgomi – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ileje

Solomon Jonas Itunda – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Songwe

Zakaria Saili Mwansasu – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Uyui

Naitapwaki Lumeya Tukai – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nzega

WAKUU WA WILAYA WALIOHAMISHWA VITUO VYA KAZI:

Suleiman Yusufu Mwenda – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Monduli. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Iramba.

Edward Jonas Mpogolo – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya llala. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Same.

Halima Abdallah Bulembo – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Muheza.

Hashim Abdallah Komba – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ubungo. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea.

Mwanahamisi Athumani Mukunda – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Bahi.

Saadi Ahmed Mtambule – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Mufindi.

Sophia Mfaume Kizigo – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Mkalama.

Godwin Crydon Gondwe – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Bahi. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni.

Veronica Arbogast Kessy – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Iringa. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Misungwi.

ACP Advera John Bulimba – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Biharamulo. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Nzega.

Majid Hemed Mwanga – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mlele. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa.

Salum Hamis Kalli – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kigoma. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Magu.

Kisare Matiku Makori – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Moshi. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Uyui.

Mohamed Hassan Moyo – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Iringa.

Kherry Denis James – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbulu. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Ubungo.

Dkt. Vicent Naano Anney – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Bunda. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Rungwe.

Kanali Denis Filangali Mwila – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbarali. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe.

Sebastian Muungano Waryuba – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Malinyi. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga.

Danstan Dominic Kyobya – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilombero. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara.

Dkt. Julius Keneth Ningu – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ulanga. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo.

Judith Martin Nguli – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mvomero. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Liwale.

Hanafi Hassan Msabaha – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara. Alikuwa Mkuu wa Wilaya Uvinza.

Lauter John Kanoni – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Masasi. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Wanging’ombe.

Matiko Paul Chacha – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Misungwi. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Kaliua.

Ng’wilabuzu Ndatwa Ludigija – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kwimba. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala.

Claudia Undalusyege Kitta – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Wanging’ombe. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Masasi.

Fatma Almas Nyangasa – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni.

Nick Simon John – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kibaha. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe.

Halima Habib Okash – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Mvomero.

Filberto Hassan Sanga – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nyasa. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Mlele.

Ngollo Ng’waniduhu Malenya – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Ulanga.

Maoni yamefungwa, lakini 0naweza kushea habari