Baraza la Sanaa lafunga Safari kufuata vipaji vipya Mikoani, Wilayani na Vijijini Dotto Lukezo Katika kuhakikisha kuwa vipaji vinavyochipukia nchini havipotei, Baraza la Sanaa la Taifa linafunga safari kuvifuata popote