Benki Kuu ya Tanzania yapata Gavana Mpya Taifa Ripota Jan 8, 2023 Benki Kuu ya Tanzania imepata Gavana Mpya baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kufanya teuzi mpya katika wizara na taasisi za fedha nchini
Utapeli Mpya waibukia kwenye Miamala ya Benki Mwandishi Wetu Jan 7, 2023 Matapeli sasa wamebuni mbinu mpya ya kutuma taarifa ghushi kwa wamiliki wa akaunti za benki, hasa zile za taasisi kana kwamba kuna fedha nyingi zimetumwa kutoka nje ya nchi