Kaya zaidi ya 200 zavamia mapito ya wanyamapori Manyara. Ulaji wa Nyama ya Twiga watishia Uhai wa Nembo ya Taifa
Babati kuna tatizo. Mnyama twiga, ambaye ndiye nembo ya taifa la Tanzania anawindwa kwa wingi maana wakazi wa maeneo hayo wanaitaka nyama yake.