Biashara Arusha kufuta magari madogo ya abiria kutoka kwenye sekta ya usafirishaji Jijini Berry Mollel Magari madogo aina ya Toyota Hiace na Nissan Caravan yanatakiwa kupisha mabasi ya saizi ya kati kama Toyota Coaster na Nissan Civillian