Wafugaji Waomba Kukutana na Rais Samia Suluhu Hassan Hazla Quire Dec 22, 2022 Jamii za wafugaji zinataka kumpa Rais Samia taarifa sahihi kuhusu wao, tofauti na zile anazopewa na wasaidizi wake