Rais Samia aombwa kuingilia sakata la hati ya Kampuni ya Uchukuzi Iringa Valentine Oforo Feb 11, 2023 Wamiliki wa kampuni hiyo ya Uchukuzi, Iringa pia wanadai kunyanyaswa na baadhi ya maofisa wa serikali huku hati yao ya umiliki ikiwa imeshikiliwa kusikojulikana