Michuano ya Tenisi Afrika Yaanza Burundi Huku Tanzania ikiwakilishwa na Vijana tisa Mwandishi Wetu Jan 7, 2023 Wachezaji tisa wa mchezo wa tenis kutoka Arusha, Kilimanjaro na Dar-es-salaam wanaiwakilisha Tanzania katika mashindano ya vijana wa Afrika nchini Burundi