Miaka 61 ya Uhuru: Rais Samia atajwa na Forbes kuwa miongoni mwa Wanawake 100 wenye ushawishi Mkubwa Duniani
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani (IMF), Kristalina Georgieva, na aliyekuwa mke wa mmoja wa watu matajiri zaidi duniani Jeff Bezos, Mackenzie Scott, nao pia wametambuliwa kwenye orodha hiyo yenye sifa kubwa duniani.