Mtanzania mwenye jinsia mbili aelezea machungu ya kuonekana tofauti katika jamii Valentine Oforo Feb 24, 2023 Tanzania ina watu ambao wamezaliwa wakiwa na jinsia zote mbili za Kike na Kiume, ingawa hawana tatizo lolote lakini jamii inachukulia kuwa huo pia ni ulemavu