Ufugaji Samaki: Kati ya Kambale na Sato, Ni Yupi hasa Anayefaa zaidi kwa Biashara? Mwandishi Wetu Unataka kuanza biashara ya Samaki? Basi kuna machache hapa ya kuzingatia kuhusu Kambale na Sato