CHADEMA kuwarejeshea tena wakazi wa Karatu Mradi wao wa maji Sophia Fundi Jan 31, 2023 Imeelezwa kuwa Tatizo kubwa la maji linalowakabili wakazi wa Karatu linatokana na kuondolewa kwa mradi wa Kaviwasu kutoka mikononi mwa wananchi