Masoud Kipanya aanza maandalizi ya Kufufua Vipindi vya ‘Maisha Plus!’ Mwandishi Wetu Feb 26, 2023 Vipindi vya Maisha Plus viko mbioni kurejea tena. Hata hivyo haijulikani kama vitakuwa vinarusha kwenye televisheni au mitandao