Jitihada zichukuliwe kuzuia milipuko Mingine ya Moto Mlima Kilimanjaro Nyakati za Kiangazi Mwandishi Wetu Palipo na Moshi hapakosi Moto na katika wilaya ya Moshi, Moto unaripotiwa kulipuka juu ya Mlima mrefu Barani Afrika. Kilimanjaro.