Waburuzwa Mahakamani Kwa Kuchinja Twiga Mdogo Taifa Ripota Twiga huyo mdogo ambaye watuhumiwa wanadaiwa kukutwa wakimchuna ngozi, alichinjwa katika eneo la Kwakuchinja, wilayani Babati
Kaya zaidi ya 200 zavamia mapito ya wanyamapori Manyara. Ulaji wa Nyama ya Twiga watishia Uhai wa Nembo ya Taifa Mwandishi Wetu Babati kuna tatizo. Mnyama twiga, ambaye ndiye nembo ya taifa la Tanzania anawindwa kwa wingi maana wakazi wa maeneo hayo wanaitaka nyama yake.
Kinachoisibu Jumuiya ya Hifadhi ya Jamii, Burunge wilayani Babati Mwandishi Wetu Mgogoro huo umeibuka baina ya Mwenyekiti wa jumuiya hiyo, Hamis Juma na Bodi ya wadhamini wa jumuiya hiyo ambayo inaungwa mkono na baraza la ushauri la maliasili la wilaya hiyo na wananchi waliowengi.
Mgogoro waibuka Hifadhi ya Jamii Burunge baada ya kitalu cha uwindaji kutangazwa bila ridhaa ya Viongozi Mwandishi Wetu "Tukumbuke kuwa haya pia ni mapito ya wanyama," wanasema viongozi wa Hifadhi ya Jamii ya Burunge (WMA).
Ukame Wateketeza Wanyamapori Ndani ya Hifadhi ya Burunge, Wilayani Babati Mwandishi Wetu Vifo vya wanyama sasa vinaripotiwa kwa wingi ndani ya Hifadhi ya Jamii ya Burunge kufuatia ukame uliokithiri Kaskazini mwa Tanzania