Simulizi na Historia Tanzania na Mawe kutoka Sayari za Mbali Mwandishi Wetu Mawe kadha ya ajabu kutoka sayari za mbali, maarufu kama Vimondo, yamekwisha kuanguka sehemu mbalimbali nchini Tanzania. Je, kuna nini cha ziada eneo hili?