Simulizi na Historia Safari Kuelekea Mlima Ung’u: Simulizi ya Ujio wa Watu Wanaoishi Meru, Arusha Emmanuel David Urio Neno Nkanti ambalo ndilo chimbuko la "Kikatiti," ni mwanamke bado hajazeeka au mke mdogo.