Habari Sakata la Mauaji ya Polisi Loliondo: Watuhumiwa 24 Waachiwa Huru Arusha Omega Mlay Wakili wa Serikali Upendo Shemkole aliieleza mahakama kuwa mkurugenzi wa mashitaka nchini (DPP) hakuwa na nia ya kuendelea na shauri hilo tena.
Habari Kesi ya Wanavijiji Loliondo Dhidi ya Pori Tengefu la Pololeti Kusikilizwa Novemba 8 Miriam Sarakikya Nao baadhi ya Mawakili upande wa utetezi, Alais Melau, Denis Mosses na Yohana Masiaya wamepinga taarifa hiyo ya kupandishwa hadhi kwa eneo hilo kutoka pori tengefu kuwa pori la akiba la Pololeti kwani utaratibu…