Habari Treni Mpya 10, Mabehewa 270 Kuagizwa ili kukabiliana na wimbi la Safari za Krismas na Mwaka Mpya Berry Mollel Treni mpya 10 na mabehewa 270 yameagizwa ili kukabiliana na ongezeko la abiria na mizigo kwenye usafiri wa reli kati ya Arusha na Dar-es-salaam.