Uamuzi wa mahakama unatokana na ombi la kikatiba lililofunguliwa mwaka 2020 na wabunge wa upinzani dhidi ya Kamishna Mkuu wa Magereza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Nao baadhi ya Mawakili upande wa utetezi, Alais Melau, Denis Mosses na Yohana Masiaya wamepinga taarifa hiyo ya kupandishwa hadhi kwa eneo hilo kutoka pori tengefu kuwa pori la akiba la Pololeti kwani utaratibu…