Vituko Vya Tuntemeke Sanga: Msomi aliyemtaka Rais Nyerere ampishe Ikulu
Tuntemeke kutaka Nyerere ampishe Ikulu, lilimuudhi sana Mwalimu akaamua kutumia Sheria yake ya " The preventive Detention Act 1962" akamsweka mara moja kizuizini kijijini kwake Bulongwa na kumwamuru asitoke…