Mwaka Mpya 2023: Mama Maria Nyerere Atimiza Miaka 93 Mwandishi Wetu Dec 31, 2022 Mama Maria Nyerere anatimiza miaka 93, ikiwa ni miaka 23 baada ya kifo cha mumewe, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.