Biashara Vitunguu vya Mang’ola Vyasababisha Machozi Karatu baada ya bei kuporomoka Berry Mollel Viliwahi kuwa dhahabu nyekundu kwa mkoa wa Arusha, lakini sasa vitunguu vya kutoka Karatu vimekuwa mali ya kale