Wakazi wa Babati wafungwa Miaka 20 kwa kukutwa na Pembe za Ndovu, Manyara
Huku matukio ya uwindaji haramu yakishamiri katika maeneo kadhaa wilayani Babati, watu wawili wamesukumwa jela kutumikia miaka 20 gerezani kwa kupatikana na Pembe za Ndovu