Kuadimika kwa Sauti Nzito katika nyimbo za nyakati hizi, ni Kupotea kwa ladha ya Muziki Ibrahim Mkamba Jan 31, 2023 Na sio tu sauti nzito katika uimbaji ndizo zimepotea. Hata ala za vyombo kama Saxophone (Mdomo wa Bata) na Tarumbeta (Trumpet) pia zinatoweka kwenye fani.