Waburuzwa Mahakamani Kwa Kuchinja Twiga Mdogo Taifa Ripota Feb 24, 2023 Twiga huyo mdogo ambaye watuhumiwa wanadaiwa kukutwa wakimchuna ngozi, alichinjwa katika eneo la Kwakuchinja, wilayani Babati