Monduli na Mbio za Pikipiki Kuruka Viunzi Nyikani Mwandishi Wetu Kuna michezo mingi nchini Tanzania, lakini huu wa mbio za pikipiki kuruka viunzi ni wa tofauti na hufanyika Arusha pekee