Simulizi na Historia Mikaeli Ahho: Chifu Mkatili Zaidi kuwahi kutokea katika Jamii za Wairaqw Patrick Alfred Hii ni simulizi na historia adimu sana kuhusu chifu mkali na machachari kuwahi kutokea katika jamii za wairaqw
Spoti Safari ya Mji wa Mbulu kuwa Kitovu Cha Michezo Mkoani Manyara Yaanza na Ukarabati wa Viwanja Dotto Lukezo Hivi karibuni Chief Sarwatt ilikuwa miongoni mwa shule zilizoteuliwa na serikali kushiriki mafunzo maalum ya michezo yaliyoendeshwa na Baraza la michezo Tanzania kupitia wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo.
Spoti Mbulu Mbioni Kurejesha Sifa yake kwenye Riadha za Kimataifa Mwandishi Wetu Iliwahi kuwa juu, baadae ikashuka na sasa wilaya ya Mbulu mkoani Manyara inarudi upya kwenye ulingo wa riadha za kitaifa na kimataifa